Mo ataja mkakati wa miaka mitatu Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 May 2020
Mo ataja mkakati wa miaka mitatu Simba

Baada ya kuorodheshwa miongoni mwa vilabu 20 bora barani Afrika, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema mkakati waliojiwekea ni kuingia kumi bora katika kipindi cha miaka mitatu

Simba imeorodheshwa nafasi ya 16 mongoni mwa vilabu bora Afrika baada ya mwaka juzi kufanikiwa kutinga robo fainali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

"Simba meorodheshwa kati ya vilabu bora 20 vya mpira wa miguu barani Afrika. Lengo letu ni kuwa kwenye 10 bora ndani ya miaka mitatu," ameandika Mo katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’