Simba yapania kumbeba Kagere ufungaji bora wa muda wote

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 May 2020
Simba yapania kumbeba Kagere ufungaji bora wa muda wote

Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola, amesema watahakikisha wanamsaidia mshambuliaji wa timu hiyo Meddie Kagere aweze kuvunja rekodi ya ufungaji bora ligi kuu ya Tanzania Bara

Mkongwe Mohammed Hussein 'Mmachinga' ndiye anayeshikilia rekodi ya kupachika mabao ligi kuu Tanzania Bara akiwa amefunga mabao 26

Akiwa amefunga mabao 19 mpaka sasa, Kagere atahitaji kufunga mabao nane tu katika mechi 10 zilizobaki kuweza kuvunja rekodi hiyo

"Tunataka kumsaidia Kagere aweze kuvunja rekodi ya mabao iliyodumu kwa miaka mingi. Tutampa nafasi katika mechi zote zilizobaki na tutamtumia zaidi katika nafasi nying ambazo tutakuwa tukitengeneza," alisema Matola

Kagere ametua nchini mapema na kujiunga na wachezaji wengine ambao wameanza mazoezi tangu Jumatano iliyopita

Ligi Kuu itarejea Juni 13, ambapo ratiba ya mechi zilizobaki itatolewa hapo kesho

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’