Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimeingia siku ya tatu ya mazoezi tangu kurejea kambini siku ya Jumatano
Mabingwa hao wanaosubiri 'kusepa' na taji la tatu mfululizo, wameendelea kufanya mazoezi makali chini ya kocha mkuu Sven Vandenbroeck









ADVERTISE HERE