Simba yapewa Azam robo fainali ASFC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 May 2020
Simba yapewa Azam robo fainali ASFC

Mabingwa wa nchi hii Simba watachuana na Azam Fc katika mchezo wa robo fainali michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo huo ambao utapigwa uwanja wa Taifa kati ya Juni 27/28 2020

Aidha droo hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya Azam TV, Tabata jijini Dar es salaam, imeishuhudia klabu ya Yanga ikiangukia mikononi mwa Kagera Sugar, Yanga wakitarajiwa kuwa wenyeji wa mchezo huo

Namungo Fc itacheza na Alliance Fc nyumbani wakati Sahare All Stars kutoka mkoani Tanga itakuwa mwenyeji wa Ndanda Fc

Hii itakuwa mara ya nne kwa Simba kukutana na Azam Fc msimu huu, Simba ikishinda mechi zote tatu zilizopita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’