Kichuya aahidi kurejea kibabe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 May 2020
Kichuya aahidi kurejea kibabe

Kiungo mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya amesema amezisikia kauli za mashabiki wa klabu hiyo juu yake hivyo watarajie kumuona yule Kichuya wanayemfahamu pale Ligi itakaporejea Juni 13

Kichuya alirejea Simba mwezi Januari mwaka huu akitokea klabu ya Pharco Fc ya nchini Misri

Nyota huyo ambaye msimu wa 2017/18 aliweka rekodi kwa kutoa pasi 27 za mabao, amesema ametumia muda wa mapumziko ya corona kufanya mazoezi makali ikiwa ni pamoja na kupunguza uzito

"Nilipokuwa Misri sikucheza kwa karibu miezi saba kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kwenye mkataba wangu. Niliporejea Simba wengi walisema nimeongezeka uzito na siko vizuri kama mwanzo"

"Nawahakikishia nimefanyia kazi changamoto zote zilizokuwa zikinikabili na sasa wawe tayari kumpokea Kichuya yule wanayemfahamu," alitamba Kichuya

Kichuya ni miongoni mwa wacheazaji walioingia kambini kwenye kikosi cha Simba kujiandaa na ngwe ya lala salama ligi kuu ya Vodacom na kombe la FA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’