Miraji arejea kwa kasi kikosini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 May 2020
Miraji arejea kwa kasi kikosini

Winga wa Simba Miraji Athumani jana alikuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha mabingwa hao wa nchi kilichoanza maandalizi tayari kukamilisha ngwe iliyobaki Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na kombe la FA

Nyota huyo amerejea kikosi baada ya kukosekana dimbani kwa takribani miezi minne kutokana na majeruhi sasa ikiwa ni miezi sita ukiongeza na miezi miwili ya corona

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck ameeleza kufurahishwa na utimamu wa winga huyo ambaye pia anamudu kucheza nafasi ya ushambuliaji wa kati

Sven amesema kurejea kwake kutazidi kuimarisha safu yake ya ushambuliaji

"Miraji amerejea na amepona kabisa hata yale mapumziko ya corona yamemsaidia kuwa fiti na kama mnavyomuona hata katika mazoezi yupo vizuri. Nimefurahi kumuona kwani nafahamu anaweza kucheza kama winga au mshambuliaji wa kati kwa hiyo atatupa machaguo zaidi ya upangaji wa timu," amesema Sven

Miraji alipata nafasi za kucheza mechi 10 za kwanza msimu huu akafanikiwa kufunga mabao sita na kutoa pasi mbili za mabao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’