Simba yaanika mchakato wa zabuni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Oct 2017
Simba yaanika mchakato wa zabuni
Kamati ya kusimamia mchakato wa zabuni ya klabu ya Simba, imeandaa mwaliko wa awali kwa ajili ya wanachana na taasisi zenye nia na sifa za kushiriki katika mchakato wa zabuni.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jaji mstaafu Thomas Mihayo amesema nyaraka za mwaliko wa awali zipo tayari na wawekezaji kwenye sifa na vigezo wanaweza kuzipata.

"Mwaliko wa kuchukua nyaraka hizi, utatangazwa kupitia vyombo vya habari kwa siku kumi ili kuwapatia fursa za kutosha wazabuni watarajiwa kujiandaa na kukamilisha nyaraka muhimu.

Pia wazabuni watatumia muda huo kufanya mashauriano kabla ya kuwasilisha.

Oktoba 18 ndiyo itakuwa Siku ya mwisho ya kuwasilisha nia ya kushiriki katika mchakato wa uwezekaji.

Alisema hatua hii itafuatiwa na uchambuzi wa mawasilisho yatakayopokelewa ili kutambua wzabuni watakao kuwa wamekidhi sifa na vigezo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’