Baada ya kukosekana uwanjani kwa takribani miezi miwili kutokana na changamoto ya ugonjwa wa corona, kikosi cha mabingwa wa nchi Simba leo kimerejea rasmi mazoezini uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju
Baada ya kufanyiwa vipimo asubuhi, wachezaji wote walioshiriki zoezi hilo, walionekana kuwa 'fiti' hivyo kuruhusiwa kuanza mazoezi moja kwa moja

Wababe hao wa soka ukanda huu wa Afrika Mashariki wameanza mazoezi chini ya kocha Mkuu Sven Vandenbroeck akiwa sambamba na Selemani Matola, kocha msaidizi
ADVERTISE HERE