Zoezi la upimaji wa Afya linaendelea kwa wachezaji wa Simba ambao wameripoti kambini tayari kurejea katika majukumu yao
Pamoja na kupimwa virusi vya COVID-19, wachezaji wanachukuliwa vipimo vingine kama uzito, presha, moyo n.k
Simba inatarajiwa kuanza mazoezi baada ya kukamilika kwa zoezi hilo



ADVERTISE HERE