Nahodha wa Simba John Bocco jana alimfunga bao la 10 mlinda lango wa Kagera Sugar Juma Kaseja.
Idadi hiyo ya mabao ni tangu wakati Bocco akiwa Azam FC huku Kaseja akiwa klabu za Simba na Yanga.
Akizungumza baada ya mchezo jana, Bocco amempongeza Kaseja kwa kuwa katika kiwango bora kwa muda mrefu ameeleza siri ya kuendelea kumfunga ni kutokana na kujituma kwake.
Aidha Bocco amesema katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar jana, kocha Masudi Djuma aliwaeleza wabadili mbinu kwenye kipindi cha pili na kufanikiwa kufunga mabao mawili baada ya kwenda mapumziko timu zikiwa hazijafungana

ADVERTISE HERE