Mshambuliaji kinara wa mabao ligi kuu ya Vodacom Meddie Kagere amewasili nchini tayari kuungana na wachezaji wengine wa Simba hapo kesho kuanza maandalizi ya mechi za ligi kuu pamoja na kombe la FA
Mwamba huyo anayeongoza mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akiwa ametupia mabao 19, yuko tayari kuvunja rekodi yake ya mabao 23 aliyoweka msimu uliopita



ADVERTISE HERE