Simba yakomaa kumrejesha Kagere wiki hii

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 May 2020
Simba yakomaa kumrejesha Kagere wiki hii

Uongozi wa klabu ya Simba unafanya jitihada kuwarejesha nyota wake wanne ambao wako nje ya nchi kuungana na wenzao tayari kwa mikiki mikiki ya ligi kuu inayorejea karibuni

Kumekuwa na changamoto ya usafiri wa anga kwenye baadhi ya nchi ambazo bado hazijafungua viwanja vya ndege kutokana na janga la corona

Mshambuliaji Meddie Kagere ambaye yuko Rwanda huenda akawasili mapema zaidi baada ya taratibu zake za kusafiri kukamilishwa

Nyota mwingine ambaye anaweza kuwasili mapema ni Francis Kahata ambaye yuko Kenya huku nyota wengine Clatous Chama (Zambia) na SHaraff Shiboub (Sudan Kusini) nao michakato yao ikiendelea

Simba inatarajiwa kurejea mazoezini kesho Jumatano kwa kuanza na zoezi la kupima afya za wachezaji

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
31m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’