Harakati za uchaguzi zamtia matatani Rage

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 May 2020
Harakati za uchaguzi zamtia matatani Rage

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage ambaye pia amewahi kuwa Mbunge wa Tabora Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amejikuta katika mikono ya Sheria baada ya kukamatwa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) akikabiliwa na tuhuma za rushwa pamoja na kudaiwa kuanza kampeni za uchaguzi kabla ya wakati wake

Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Tabora, Mussa Chaulo ilieleza kuwa mnamo Mei 23, 2020, Rage ambaye ni Mkurugenzi wa Voice of Tabora alishikiliwa baada ya TAKUKURU kupata taarifa kutoka chanzo cha siri kikieleza kuwa ameanza kampeni za uchaguzi kabla ya wakati.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, ilieleza kuwa kiongozi huyo wa zamani wa Simba akiwa katika maeneo kadhaa ndani ya manispaa ya Tabora kwa nyakati tofauti alikusanya wapiga kura ambao ni viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya kata na matawi kwa lengo la kuwashawishi ili wampigie kura.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’