Dimba la Mo Simba Arena linalomilikiwa na mabingwa wa nchi, Simba liko tayari kuanza kutumika siku ya Jumatano kwa ajili ya maandalizi ya mechi zilizobaki Ligi Kuu na kombe la FA
Mandhari ya viwanja hivyo vinaonekana kuwa katika ubora wa hali ya juu kabisa..






ADVERTISE HERE