Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' amewahakikishia mashabiki wa klabu hiyo kuwa kiungo wao mahiri Jonas Mkude ataendelea kubaki Msimbazi
Kwa wiki za kribuni Mkude ametajwa kuwa kwenye rada za vigogo wa soka Barani Afrika klabu za TP Mazembe, Al Ahly na Mamelodi Sundowns zikitajwa kuitaka huduma ya 'mido' huyo matata
TP Mazembe ndio inayoonekana kuwa mstari wa mbele zaidi kumuwania lakini Mo amesema Mkude ataendelea kubaki Msimbazi
ADVERTISE HERE