Majembe sita yaongeza mikataba Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 May 2020
Majembe sita yaongeza mikataba Simba

Moja ya mambo ambayo uongozi wa Simba umesema hautafanya msimu huu ni kusajili idadi kubwa ya wachezaji bila ya kuangalia mahitaji ya timu

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck ametaka ufanyike usajili ambao utaziba mapengo machache kwa kuwa sehemu kubwa ya kikosi kiko sawa

Jana Mtendaji Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Senzo Mazingisa alidokeza kuwa watafanya usajili kulingana na mapendekezo ya Sven lakini kwa sasa bado wanakamilisha kuwapa mikataba mipya nyota ambao mikataba yao imemalizika

Wachezaji sita wanatajwa kuwa tayari wamepewa mikataba mipya kuendelea kukipiga Msimbazi

Wachezaji hao ni Mzamiru Yassin, Shiza Kichuya, Hassan Dilunga, Said Ndemla, Deo Kanda na Paschal Wawa

Aidha Simba pia iko mbioni kuwaongeza mikataba Meddie Kagere na Clatous Chama ambao hata hivyo bado wana mwaka mmoja mmoja katika mikataba yao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’