Uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki wake kukaa tayari kwani siku ya kesho Jumamosi, kuna tukio kubwa litafanyika saa saba mchana
Tukio hilo maalum litakuwa mbashara kupitia ukurasa rasmi wa klabu, mtandao wa Youtube
Je ni tukio gani? tega sikio...
ADVERTISE HERE