Hatma ya Shiboub mikononi mwa Sven

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 May 2020
Hatma ya Shiboub mikononi mwa Sven

Kiungo fundi wa mpira Sharaff Elden Shiboub atakuwa huru mwishoni mwa msimu huu pale mkataba wake na Simba utakapomalizika

Nyota huyo aliyetua Simba usajili uliopita kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea El Hillal ya Sudan, bado yuko kwao Sudan ambako alirudi baada ya kuitwa timu ya Taifa kabla ya kuibuka kwa changamoto ya corona

Inaelezwa hatma yake imeachwa mikononi mwa kocha Sven Vandenbroeck

Pamoja na kutopata nafasi mara kwa mara kwenye kikosi cha Sven, Shiboub ni mmoja wa wachezaji ambao wamechangia kwa kiasi kikubwa ubingwa wa tatu ambao Simba inakwenda kuchukua

Amefunga mabao mawili na kutoa pasi sita za mabao na kuwa mmoja wa wachezaji vinara wa kutoa pasi za mabao msimu huu akizidiwa na Clatous Chama (8) na Meddie Kagere (7)

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’