Wizara yatoa ruksa kwa timu kuanza mazoezi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 May 2020
Wizara yatoa ruksa kwa timu kuanza mazoezi

Baada ya Rais Dk John Magufuli kurejesha shughuli za michezo nchini kuanzia Juni Mosi, Serikali imetoa ruhusa rasmi kwa vilabu kuanza mazoezi ya pamoja

Taarifa ya Serikali iliyotolewa mapema leo na Msemaji wa Serikali Dk Hassan Abbas, imebainisha kuwa ruhusa hiyo imetolewa ikiwa ni baada ya uamuzi wa Rais kuruhusu baadhi ya michezo kurejea

Wizara yenye dhamana ya Michezo itatoa maelekezo zaidi ya utaratibu wa kiafya ambao utapaswa kufuatwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’