Uongozi wa klabu ya Simba kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, umewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wake wakae tayari kwani siku ya Jumamosi saa saba mchana watakuwana jambo lao
Kuelekea msimu mpya wa usajili, Simba inaanza 'kutest mitambo' kabla ya kuanza kushusha vifaa kwenye muda uleule ambao ulijizolea umaarufu mkubwa msimu uliopita
Β
ADVERTISE HERE