Kanda aumia akijifua

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 May 2020
Kanda aumia akijifua

Wakati mashabiki na wachezaji wa timu za ligi kuu wakisubiri kutangazwa kurejea kwa mikiki mikiki ya ligi hiyo, winga wa Simba Deo Kanda amepata pigo kwa kuumia wakati akifanya mazoezi binafsi

Juzi Kanda alijumuika na wachezaji wengine katika mazoezi yaliyokuwa yakifanyika Ufukwe wa Escape One

Hata hivyo alishindwa kumaliza mazoezi hayo baada ya kupata maumivu ya kifundo cha mguu

Ni jeraha hilohilo ambalo lilimuweka nje kwa wiki kadhaa baada ya mchezo wa kwanza dhidi ya Yanga uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2

Kanda aliumia katika mchezo huo baada ya kufunga bao la pili

Kanda aliyetua Simba kwa mkopo akitokea klabu ya TP Mazembe, yuko mbioni kusaini mkataba kamili na mabingwa hao wa nchi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
30m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’