Kichuya apewa nafasi nyingine Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 May 2020
Kichuya apewa nafasi nyingine Simba

Kiungo mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya, amepewa mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa nchi

Kichuya alirejea Simba mwezi Januari katika usajili wa dirisha dogo akitokea klabu ya Pharco Fc ya huko Misri

Nyota huyo hodari wa kupiga 'kona goli' alisaini mkataba wa miezi sita ambao unamalizika mwishoni mwa msimu

Pamoja na kutokuwa na mwanzo mzuri kwenye kikosi cha kocha Sven Vandenbroeck, bado uongozi wa Simba unaamini winga huyo ataweza kurejesha makali yako aliyokuwa nayo kabla ya kwenda Misri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’