Kiungo KCCA aingia rada za Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 May 2020
Kiungo KCCA aingia rada za Simba

Kulingana na vyombo vya habari huko Uganda, klabu ya Simba imejitosa kumuwania kiungo wa KCCA na timu ya Taifa ya Uganda Muzamiru Mutyaba

Simba ambayo imepania kukiimarisha kikosi chake kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa, inasaka kiungo ambaye atashirikiana na Jonas Mkude

Klabu yake ya KCCA imebainisha kuwa tayari kumuachia nyota huyo kwa timu ambayo itawapa ofa nono

"Ni kweli kuna klabu nyingi zinawania kumsajili ikiwemo Simba, lakini tutaangalia ipi itakuwa na ofa nono. Kwa sasa lengo ni kuisaidia KCCA kutetea taji lake la Uganda, " kilieleza chanzo

Mutyaba alijiunga na KCCA mwaka 2015 akitokea SC Victoria University na kubaki kuwa mchezaji pekee aliyeichezea timu hiyo kwa muda mrefu tangu kuwasili kwa Mike Mutebi.

Amekuwa mchezaji muhimu katika mchango wa klabu hiyo ikitwaa mara tatu taji la Ligi Kuu ya Uganda, mara mbili Kombe la Uganda na Kombe la Cecafa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’