Bodi ya Ligi (TPLB) imetangaza nafasi ya kazi, inahitaji Afisa wa Habari na Mawasiliano
Sifa muhimu ni lazima uwe na Shahada ya uwandishi wa habari pamoja na uzoefu wa angalau miaka mitano kwenye masuala ya habari katika tasnia ya michezo
Hii ni fursa muhimu kuchangamkia kwa wadau wenye sifa..!

ADVERTISE HERE