Maelfu wanufaika na Barakoa za Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 May 2020
Maelfu wanufaika na Barakoa za Simba

Uongozi wa klabu ya Simba kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundatio,n leo wanaendelea na zoezi la kugawa Barakoa bure kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam

Zoezi hilo limeingia siku ya tatu ambayo ni siku ya mwisho

Tangu kuanza kwa zoezi hilo, zaidi ya Barakoa elfu ishirini na tano zimegawiwa kwa wakazi mbalimbali wa jiji la Dar es salaam

Mpaka zoezi hilo kukamilika, watu zaidi watanufaika na mpango

Zoezi hilo limelenga kuwapa ahueni wananchi katika jitihada za kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’