Rais Magufuli afikiria kuruhusu michezo wiki ijayo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2020
Rais Magufuli afikiria kuruhusu michezo wiki ijayo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli amesema kasi ya maambukizi ya virusi vya corona nchini imeendelea kupungua ambapo amesema hali ikiendelea kuwa hivyo anaweza kuruhusu vyuo vikafunguliwa wiki ijayo pamoja na kuruhusu shughuli za Michezo

Akizungumza mapema leo Mjini Chato, Rais Magufuli alisema idadi ya wagonjwa wa corona katika vituo mbalimbali imepungua sana huku kasi ya maambukizi nayo ikiendelea kupungua

"Hali ya maambukizi imepungua sana. Amana ilikuwa na wagonjwa 198 wamebaki 12 tu. Mloganzila 30 wamebaki 6. Kibaha 50 wamebaki 22. Arusha kituo cha Moshono kina wagonjwa 11 vingine havina wagonjwa. Mwanza vituo 10 wagonjwa 6. Dodoma wagonjwa 42 wamebaki wawili tu"

"Kama hali itaendelea hivi hadi wiki ijayo nimepanga kufungua vyuo ili wanafunzi wetu waendelee kusoma. Pia nimepanga kuruhusu michezo kwa sababu michezo ni sehemu ya burudani, Maisha lazima yaendelee," alisema Rais Magufuli

Sasa ni wazi mshike-mshike wa ligi kuu ya Vodacom unaweza kurejea mapema tu pengine kabla ya Juni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’