RIP Mafisango, Simba itaendelea kukumbuka mchango wako

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2020
RIP Mafisango, Simba itaendelea kukumbuka mchango wako

Leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha kiungo wa zamani wa Simba Patrick Mutesa Mafisango kilichotokea kwa ajali ya gari miaka 8 iliyopita.

Mafisango, daima atakumbukwa kwa mchango wake katika Ligi Kuu ya Vodacom

Mafisango alifariki kwa ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Veta Chang’ombe, alipokuwa akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki, ambapo gari lake lilipoteza mwelekeo, kuacha njia na kutumbukia mtaroni na kugharimu maisha ya mchezaji huyo.

Kifo chake kiliacha taharuki hasa kwa wapenzi wa soka, kwani alikuwa ni mchezaji wa aina yake Simba, hakuwahi kuwa nahodha wa timu kama kwenye timu yake ya APR ya Rwanda, lakini alikuwa ni zaidi ya nahodha kwani aliweza kuhamasisha wenzake kucheza bila kuchoka na kutokata tamaa hata pale Simba inaposhambuliwa na timu pinzani au hata kufungwa.

Alifariki katika wakati ambao klabu yake ilikuwa inatarajia mengi kutoka kwake. Huyu alikuwa mchezaji tegemeo kwenye kikosi cha Simba na hakuna kingine kilichokuwa kinamfanya awe tegemeo zaidi ya jitihada zake uwanjani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’