Wadau wamepongeza zoezi lililoendeshwa na klabu ya Simba kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation kugawa barakoa bure katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam
Barakoa ni hitaji muhimu ikiwa ni moja ya silaha kwenye mapambano ya ugonjwa wa corona
Zoezi hilo litaendelea kwa siku tatu jijini Dar es salaam




ADVERTISE HERE