Kesho Jumamosi, klabu ya Simba kwa kushirikiana na @modewjifoundation wataendesha zoezi la kugawa barakoa bure kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam
Zoezi la ugawaji wa barakoa kwa siku ya kesho litafanyika eneo la Kivukoni, Kariakoo, Buguruni, Temeke na Mbagala
Zoezi hilo litaendelea maeneo mengine siku ya Jumapili na Jumatatu
ADVERTISE HERE