Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi kufuatia Taasisi ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutangaza kuanza uchunguzi wa upotevu wa fedha Tsh Bilioni moja zilizotolewa na Rais Dk John Magufuli wakati wa michuano ya Afcon U17 mwaka jana
Taarifa iliyotolewa na TFF imebainisha kuwa fedha hizo hazikuingizwa katika akaunti ya Shirikisho hilo

ADVERTISE HERE