Kanda kupewa miaka miwili Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 May 2020
Kanda kupewa miaka miwili Simba

Klabu ya Simba imefanikiwa kumshawishi winga Deo Kanda na wakati wowote atasaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa nchi, imefahamika

Kanda alitua Simba kwa mkopo akitokea klabu ya TP Mazembe kwa mkataba wa mwaka mmoja

Mkataba huo ambao unamalizika mwishoni mwa msimu, unamfanya mchezaji huyo kuwa huru kwani pia anamaliza mkataba na Mazembe ambayo hivi karibuni wametawazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu ya DR Congo baada ya msimu kumalizwa kutokana na janga la corona

Klabu hiyo inayomilikiwa na Bilionea Moise Katumbi, ilikuwa kwenye mchakato wa kumuongezea winga huyo mkongwe mkataba mpya wakati huohuo Simba wakimshawishi aendelee kubaki Tanzania na mabingwa hao wa nchi

Kanda ameeleza kufurahia maisha yake katika klabu ya Simba, akitaja upendo wa mashabiki wa timu hiyo kumfanya afikirie kubaki Msimbazi

"Nimepokea ofa kutoka timu nyingi, lakini nimeishi vizuri hapa Simba, nimepewa hashima ya kipekee na mashabiki kili nilipoingia uwanjani. Na hii ndio sababu inayonifanya nitamani kubaki hapa kw amuda mrefu zaidi," alisema

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’