Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre anatarajiwa kuanza kazi rasmi kazi ya kukinoa kikosi cha Simba kesho baada ya mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar.
Akikizungumzia kikosi cha Simba, Lechantre amesema ina wachezaji wazuri na atahakikisha anaendeleza mafanikio inayopata sasa kwenye ligi.
Lechantre amesema tatizo pekee aliloliona kwenye kikosi cha Simba ni kutokuwa na kasi hivyo atahakikisha anaongeza kasi ya mchezo.
Lechantre ameahidi atahakikisha Simba inafanya vizuri kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika pengine hata kutwaa ubingwa huo

ADVERTISE HERE