Hapa kwa Senzo Simba imepata mtu - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 May 2020
Hapa kwa Senzo Simba imepata mtu - Manara

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara, amemuelezea Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa kuwa ni kati ya viongozi wachapa kazi.

Senzo raia wa Afrika Kusini, aliyetua nchini mwaka jana, amekuwa nyuma ya mafanikio ya Simba msimu huu ambayo inaongoza katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 71.

Katika ukurasa wake wa instagram wakati wa kumtakia heri ya kuzaliwa, Manara, aliandika kuwa, kwa miezi saba aliyokaa na Senzo, amejifunza mambo mengi kutokana na kiongozi huyo kulifahamu vizuri soka la Afrika.

Manara alisema amegundua kuwa CEO huyo, yupo makini katika kufanya kazi yake inavyotakiwa pia ana ushirikiano mkubwa na watu wanaomzunguka ndani na nje ya kazi.

"Kwa miezi saba niliyofanya kazi na huyu mtu (Senzo), nimegundua na kujifunza vitu vingi sana, jamaa anajua soka na utawaka wake, ana ushikiano  katika kazi na nje ya kazi.

 "Ni mtu muungwana na hodari kusoma mazingira, hakika Simba imepata mtu sahihi kwa nafasi ya C.E.O wa klabu," alisema Manara.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’