Uongozi wa klabu ya Simba umempa tuzo maalum Mtendaji wake Mkuu Senzo Mazingisa siku ya leo ambayo anaadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Tuzo hiyo ni maalum kwa ajili ya kutambua mchango wake katika kipindi hiki ambacho anaitumikia Simba, lakini pia kumtakia kheri katika siku yake ya kuzaliwa
Senzo raia wa Afrika Kusini, alitua Simba mwaka jana kuchukua nafasi iliyoachwa na Crescentius Magori ambaye alimaliza muda wake
ADVERTISE HERE