Wawa ahamishia mazoezi yake ufukweni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 May 2020
Wawa ahamishia mazoezi yake ufukweni

Beki kisiki wa Simba Pascal Wawa amesema kwa sasa amehamishia mazoezi yake ufukweni ili kujiimarisha zaidi hasa baada ya kutolewa taarifa kuwa ligi huenda ikarejea karibuni

Wawa ambaye ni mlinzi tegemeo kikosi cha Simba, amesema mazoezi hayo yatamuweka tayari kuisaidia Simba kutetea ubingwa wake kwa msimu wa tatu mfululizo

Beki huyo mkongwe amefichua kuwa anafanya mazoezi mara mbili kwa siku kwenye fukwe za Coco jijini Dar es salaam

"Katika ratiba yangu, ni lazima kila siku nifanye mazoezi. Wakati huu kila mchezaji anahitaji kujiweka sawa ili kuwa tayari kurejea uwanjani kumalizia msimu. Lengo letu ni kutetea ubingwa kwa msimu wa tatu," amesema

Wawa yuko kwenye kikosi cha Simba huu ukiwa msimu wake wa pili. Inaelezwa mkongwe huyo ataongezwa mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kubaki Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’