Leo ni siku muhimu kwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Senzo Mazingisa ambaye leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Senzo ni mtu muhimu sana kwa maendeleo ya Simba akisimamia shughuli za kila siku za mabingwa hao wa nchi
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
Happy Birthday Senzo..!
ADVERTISE HERE