Rekodi kumbeba Sheva kikosi cha Vandenbroeck

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 May 2020
Rekodi kumbeba Sheva kikosi cha Vandenbroeck

Mshambuliaji wa Simba Miraji Athumani 'Sheva' amepona majeraha ambapo ligi itakaorejea huenda akaonekana dimbani kwa mechi zilizobaki

Sheva alipata majeraha mwanzoni tu mwa msimu na kupelekea akae nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi minne

Hata hivyo baada ya kupona, kocha mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema anamchukulia mshambuliaji huyo kama ingizo jipya kwenye kikosi chake

Sven amesema anaamini Sheva ataongeza makali ya safu ya ushambuliaji katika kuzifumania nyavu kutokana  na rekodi nzuri aliyoweka kwenye mechi chache alizocheza

Sheva alicheza takribani mechi 10, akafunga mabao sita na kutoa pasi mbili za mabao

Miongoni mwa mechi hizo, mechi nyingi hakuwa akianza lakini mara nyingi alipoingia alibadili matokeo ya mchezo

Mechi alizocheza ni kumi dhidi ya JKT Tanzania (30), Mtibwa Sugar (27) Kagera Sugar, (29), Biashara United (83), Azam FC (33), Singida United, (81), Mwadui (45), Mbeya City (90) na Ruvu Shooting (90).

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’