Azam FC imefanikiwa kuilaza Prisons mabao 2-0 hivyo kufikisha alama 30 ikikwea kileleni mwa msimamo wa ligi.
Matokeo hayo yanalaizimu Simba kuibuka na ushindi au hata sare katika mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar kesho ili irejee kileleni.
Katika michezo mingine iliyopigwa leo Yanga imeichapa Ruvu Shooting bao 1-0 huku Mwadui FC ikilazimishwa sare ya bao 1-1 na Ndanda FC

ADVERTISE HERE