Mlinda lango namba mbili wa klabu ya Simba, Said Mohammed 'Nduda' amefanyiwa upasuaji wa goti nchini India.
Nduda yuko India tangu Jumatano iliyopita alikokwenda kutibiwa majeraha ya goti aliyopata wakati wa maandalizi ya kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom.
Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema upasuaji wa mchezaji huyo umekamilika kwa mafanikio.

ADVERTISE HERE