Senzo adokeza ligi inakaribia kurejea

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 May 2020
Senzo adokeza ligi inakaribia kurejea

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Senzo Mazingisa amesema huenda ligi kuu ya Vodacom itarejea mapema zaidi

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli alibainisha kusudio lake la kuruhusu ligi hiyo iendelee baada ya kushauriana na wataalamu wake wa Afya

"Inawezekana tutarejea mapema zaidi kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa. Hii ni habari njema sana kwetu," aliandika Senzo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

Wanamsimbazi wanasubiri kwa hamu kurejea kwa mikiki mikiki ya ligi ili kumalizia viporo kusherehekea ubingwa wa tatu mfululizo

Wakati ligi inasimamishwa mwezi March, Simba ilikuwa kileleni kwenye msimamo ikiwa imejikusanyia alama 71 baada ya kushuka dimbani mara 28

Azam Fc inayofuatia nafasi ya pili, imekusanya alama 54 wakati Yanga inashika nafasi ya tatu ikiwa na alama 51

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’