Kikosi cha Simba leo kinafanya mazoezi kwenye uwanja wa Kaitaba ambao utatumika kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar kesho.
Mkuu wa Kitengo cha habari na Mawaziliano, Haji Manara amesema Simba itafanya mazoezi kwenye uwanja huo na jioni pia.
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 14 kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba utapigwa kesho Jumatatu, Januari 22, 2018.

ADVERTISE HERE