Happy BirthDay 'The Big Boss' Mo Dewji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 May 2020
Happy BirthDay 'The Big Boss' Mo Dewji

Leo ni siku muhimu sana kwa Mwekezaji wa klabu ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ambaye anaadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa

Mwenyekiti huyo wa Bodi ya Wakurugenzi, amekuwa chachu ya mafanikio ya klabu ya Simba katika misimu mitatu iliyopita

Ameingia Simba akiwa na malengo makubwa, amefanya mambo kwa vitendo kuweza kufikia malengo hayo

Kushinda ubingwa wa ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo sio jambo jepesi lakini chini yake, jambo hilo linakwenda kutimia pale ligi itakaporejea

Mwaka juzi Simba imefika robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika. Ni historia nyingine muhimu sana ambayo imepatikana chini yake

Mo amebainisha kuwa lengo kuu sasa ni kutwaa ubingwa wa Afrika na amejiwekea malengo ya kukamilisha jambo hilo katika kipindi cha miaka mitano

Tunamtakia kila la kheri kwenye siku hii muhimu kwake

Happy BirthDay Mo...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’