Happy BirthDay Nyoni, Rweyemamu, Mtambo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 May 2020
Happy BirthDay Nyoni, Rweyemamu, Mtambo

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa beki kiraka wa Simba Erasto Nyoni

Beki huyu mkongwe, amejijengea hashima ya kipekee katika Taifa hili la Tanzania kutokana kuitumikia timu ya Taifa kwa zaidi ya miaka 14 huku akiendelea kuwa katika kiwango bora

Katika siku hii pia anaungana na Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu na mtunza vifaa Khamis Mtambo ambao nao leo ni kumbukumbu ya siku zao za kuzaliwa

Tunawatakia kila la kheri kwenye siku hii muhimu kwao...

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’