Ajibu akiri Nyoni ni habari nyingine

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 May 2020
Ajibu akiri Nyoni ni habari nyingine

Kiungo mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib amesema beki kiraka Erasto Nyoni ni miongoni mwa walinzi anaowakubali zaidi katika soka la Tanzania

Ajib amesema anapokuwa dimbani huwa anapata amani zaidi anapomuona Nyoni katika eneo la ulinzi

"Unapokuwa na mchezaji kama Nyoni kwenye timu yako lazima uwe na Amani kwani unajua kila kitu kiko salama. Anatuongezea morali ya kupambana huku tukiwa na amani kuwa kwenye ulinzi tuna mtu," alisema Ajibu

Ajibu pia amemtaja mshambuliaji wa Azam Fc Obrey Chirwa kuwa miongoni mwa wachezaji aliokubali uwezo wao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’