Fraga aoa kimyakimya Brazil

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 May 2020
Fraga aoa kimyakimya Brazil

Kiungo mkabaji wa klabu ya Simba Gerson Fraga amefunga ndoa na mpenzi wake Eduarda Franca

Fraga alisafiri kwao nchini Brazil kukamilisha tukio hilo lililomuunganisha na Edurda ambaye ni mpenzi wake wa siku nyingi wakiwa tayari wamezaa mtoto mmoja

Mwamba huyo ambaye ameifungia Simba mabao matatu, mawili yakiwa kwenye ligi kuu, anatarajiwa kurejea nchini karibuni ambapo inaelezwa Simba inaweza kumuongezea mwaka mwingine kwenye mkataba wake unaomalizika mwishoni mwa msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’