Uongozi wa klabu ya Simba umekanusha kufanya biashara ya barakoa ambazo zimeonekana kuwa na nembo ya klabu hiyo
Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba kupitia ukurasa wa mtandao wa Instagram, imebainisha kuwa hawahusiki na biashara hiyo
"Simba SC haihusiki na barakoa zilizopo sokoni hivi sasa"
"Kwa sasa tunaangalia hatua za kuchukua juu ya watengenezaji wa barakoa hizo"
"Klabu inakuja na mradi mkubwa juu ya udhibiti wa matumizi ya jina letu kibiashara"

ADVERTISE HERE