Kiungo AS Vita afichua mpango wa kutua Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 May 2020
Kiungo AS Vita afichua mpango wa kutua Simba

Taarifa za chinichini ni kuwa uongozi wa klabu ya Simba unamnyemelea kiungo mkabaji wa AS Vita Mukoko Tonombe ili kuongeza nguvu kwenye kikosi chake kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao

Nyota huyo ni mmoja wa wachezaji tegemeo wa kikosi cha AS Vita, alikuwa na msimu mzuri kabla ya ligi kusimama kutokana na changamoto ya ugonjwa wa corona

Mukoko amefichua kuwa uongozi wa klabu ya Simba umewasiliana na klabu yake ya AS Vita wakimuulizia huku akiwa tayari amezungumza na mabosi hao

Mukoko ambaye pia anaweza kucheza nafasi ya ulinzi wa kati, amesema anasubiri ofa rasmi kutoka kwa mabingwa hao wa nchi huku akisisitiza kama atapewa ofa nzuri hatakuwa na tatizo kuja kucheza soka Tanzania

Hata hivyo Mukoko amesema Simba itapaswa kumalizana na AS Vita kununua sehemu ya mkataba wake uliobaki ili aweze kuruhusiwa kujiunga na wekundi hao wa Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’