Ndemla anasubiri kumwaga wino Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 May 2020
Ndemla anasubiri kumwaga wino Simba

Kiungo wa Simba Said Ndemla ni miongoni mwa wachezaji ambao wataendelea kuwatumikia mabingwa hao wa nchi msimu ujao

Kumekuwa na mjadala kuhusu hatma ya kiungo huyo lakini mwenyewe hivi karibuni aliwataka wote wanaomshauri aondoke Simba watulie kwa kuwa mwenyewe ameridhika kuendelea kubaki Msimbazi

Taarifa za uhakika ni kuwa Ndemla tayari ameshapewa mkataba mpya ambao utamfanya aendelee kubaki Msimbazi kwa muda mrefu

Nyota huyo aliyeitumikia Simba kwa misimu nane, alikuwa akisikilizia mpango wake wa kwenda kucheza soka nchini Sweden hata hivyo huenda jambo hilo lisifanikiwe na atasaini mkataba mpya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’