Wawa akaribisha mabeki wapya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 May 2020
Wawa akaribisha mabeki wapya Simba

Beki kisiki wa Simba Paschal Wawa amesema anataka kuona Simba inasajili watu wa kazi kwa ajili ya msimu ujao katika kila nafasi ikiwemo nafasi yake ya ulinzi.

Beki huyo mkongwe amesema anafurahia kuona akiwa na wachezaji wapya ndani ya kikosi cha Simba kwani wengi waliosajiliwa wanafanya vizuri kwa manufaa ya timu.

"Hata wakiletwa mabeki wawili ama watatu waje tu Simba, huwezi kuzuia klabu kufanya usajili na kwa namna ambavyo unapata changamoto unakuwa bora zaidi, hilo ni jambo zuri iwapo litatimia"

"Ninapenda kuona kwamba wakati wa usajili klabu inasajili wachezaji wazuri ambao watakuwa na nafasi ya kutimiza majukumu yao kama ambavyo wanafanya wengine ambao wamesajiliwa hapa," Wawa aliliambia gazeti la SportXtra

Klabu ya Simba inatarajiwa kuiongozea nguvu safu yake ya ulinzi kwa kusajili wachezaji wapya jambo ambalo litawapa changamoto mabeki waliopo

Kwa sasa Simba imekuwa ikiwategemea zaidi Wawa na Erasto Nyoni lakini umri wao unatajwa kuwa ni inaweza kuwa changamoto msimu ujao hasa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ambayo Simba imepanga kuipa kipaumbele

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’