Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo amesema ligi kuu ya Vodacom inatarajiwa kurejea mwezi Juni 2020 ambapo mechi zilizobaki zitachezwa bila mashabiki
Bodi ya ligi imetoa kauli hiyo muda mfupi baada ya Rais Magufuli kubainisha mpango wa Serikali yake kuruhusu michezo kuendelea nchini lakini katika mazingira ya salama
Almas Kasongo amesema kuwa uamuzi huo ni katika kutekeleza alichosema Rais kuwa wanasoka waendelee na majukumu yao ikiwa ni sehemu ya kujikinga na janga la Corona.
ADVERTISE HERE